Utangulizi
Ni jukwaa la makusanyiko ya kanisa la Kristo nchini
Dhamira Yetu
Kuwa na jukwaa la kidigitali lenye taarifa za makanisa ya Kristo Tanzania kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa taarifa/location za makusanyiko nchini ili kuimarisha ushirikiano, ushirika wa kiroho kwa waumini wote
Maono Yetu
Kuona Tanzania yenye makanisa ya Kristo yanayoshirikiana, kukua pamoja na kushiriki ujumbe wa injili kwa ufanisi zaidi.
Maadili Yetu
Kanuni tunazozishika katika utekelezaji wa kazi zetu
Uaminifu kwa Biblia
Tunazingatia mafundisho ya Biblia kama msingi wa kila kitu tunachofanya.
Ushirikiano
Tunaamini katika nguvu ya ushirikiano na kufanya kazi pamoja.
Upendo
Upendo wa Kristo ndio kiini cha huduma zetu zote.
Ubunifu
Tunatumia mbinu mpya za kiteknolojia kufikia malengo yetu.
Jumuiya
Tunaamini katika ujenzi wa jumuiya thabiti za Kikristo.
Uenezi
Tunahitaji kueneza injili kila kona ya Tanzania.
Timu Yetu
Watendaji wanaofanya mradi huu uwezekane
Momburi Evance
Mkurugenzi
Erasto Salvatory
Mtengenezaji wa Mfumo
Elia Chilemela
Mratibu wa Mikoa
Derick Kidava
Mbunifu
Je, Unataka Kujiunga Nasi?
Kama unawakilisha kanisa la Kristo Tanzania na unataka kujiunga na mfumo wetu, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.